‎ ‎ Kuna kasi ya ongezeko la wagonjwa wenye changamoto ya figo, huku mtindo wa maisha usiofaa, ukitajwa kuwa ni miongoni mwa sababu ya inachochea hali hiyo. Imebainishwa kuwa Bugando kupitia kliniki ...
TATIZO la shinikizo la damu likiambatana na magonjwa mengine yasiyo ya kuambukiza, yanaongezeka kwa kasi kubwa na kuwa tishio duniani kiuchumi na kijamii hasa kwenye sekta ya afya. Uchumi hutegemea ...