NI miaka mitano sasa tangu Zuhura Othman Soud 'Zuchu' aingie katika muziki wa Bongo Fleva na kujijengea nafasi kubwa ndani ya muda mfupi.