KATIKA miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na utaratibu mpya katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva kila msanii anayesainiwa na kutambulishwa kwenye lebo za Bongo basi lazima aachie wimbo ...
Diamond Platinumz alishangazwa na wazalishaji wake wa muziki mwaka 2020 walipoingia katika nyumba yake na keki iliokuwa na nembo ya kuadhimisha hatua muhimu ya nyota huyo wa Tanzania. Huku akipigwa ...