Tina Turner, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 83, aliunda rekodi nyingi za R&B, funk, rock na pop, zote zikiwa na uwezo wake wa kipekee wa sauti. Nyimbo hizo zinafuatilia hadithi yake kutoka ...